Pre GE2025 Luhanga Mpina anatengenezwa kama Hayati Membe akawe Mpinzani?

Pre GE2025 Luhanga Mpina anatengenezwa kama Hayati Membe akawe Mpinzani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Binafsi nafurahishwa na ujasiri wake, sina shida naye...

He's doing a good job. Anafanya kazi ya opposition within CCM parameters

Lakini ana kasoro moja...

Hana mvuto kumlinganisha na watu hao. Hawezi kuvuta watu huyu...

Akikaribishwa kwenye chama chochote labda apewe kugombea ubunge au udiwani

Hana fluency katika hoja zake hata kama anakuwa na hoja ya kweli...

Na ili mtu umuelewe unahitaji kumsikiliza kwa makini..
 
Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.

Tumeshaiona hii picha🥲
Tayari hela ya sukari imewalipa mje humu!!

Jadili wizi wa Bashe kwanza!! Huo utabiri mwingine waachie watabiri
 
Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.

Tumeshaiona hii picha🥲
Hakuna kitu kama hicho. Mpina anapigana vita yake na kwa vile inatugusa tunamsapoti lakini abaki huko huko CCM.
 
Kungekuwa na upinzani halisi wala tusingeona Lowassa na Membe huko upinzani na kupewa nafasi za kugombea nafasi ya urais, tumekuwa wagumu tu kukubali ila Tanzania hakuna upinzani ni usanii tu.
 
Hiyo mbinu ishapitwa na wakati, wananchi tushaichoka. Na wanasiasa wote tumewachoka sio chama tawala wala hao wenzao upinzani.
Sure, Siasa za Tz hazina mvuto tena. Tumeshashtukia maigizo yao wala tusipoteze muda kuwapa Attention tufanye shughuli zetu kwa familia zetu
 
Sure, Siasa za Tz hazina mvuto tena. Tumeshashtukia maigizo yao wala tusipoteze muda kuwapa Attention tufanye shughuli zetu kwa familia zetu
Ss hivi hata kwenye mikutano yao watu hawajui zaidi wanawapata wanachama wanufaika wenzao. Watu tuko busy na maisha
 
Maccm majitu ya hovyo sana! Yanachukia sana kutenda haki badala yake yanapenda upolaji na ufisadi wa bila aibu

Bashe siyo wa kutetewa, kwa tuhuma zile? Ilikuwa afungiwe jiwe kubwa shingoni na kisha kutoswa baharini
 
Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.

Tumeshaiona hii picha🥲
Acha kukariri dogo

Kwa hiyo Michezo Ina impact Gani kwao wale wanoitekeleza? Zaidi ya kupoteza rasilimali na muda

Haya huyu membe alipokkwenda upinzani aliwasaidia Nini??

Mpina anatueleza ufisadi wa vibali vya sukari na jinsi serekali ya ccm ilivio corrupt

Hayo mambo ya kutengeneza kuwa mpinzani ni akili za kijinga
 
Back
Top Bottom