Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hivyo vyama bado vipo hai? Hatakama vipo lakini sio rahisi Mpina kuhamia hukoAnaweza kutumika kupunguza kura tu za upinzani kuna vyama vya CCM kama CUF na NCCR mageuzi tusishangae Mpina ni mgombea huko
Kuna watu mna akili ndogo sana hongera dogoHuu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.
Tumeshaiona hii pichaš„²
Tayari hela ya sukari imewalipa mje humu!!Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.
Tumeshaiona hii pichaš„²
Hakuna kitu kama hicho. Mpina anapigana vita yake na kwa vile inatugusa tunamsapoti lakini abaki huko huko CCM.Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.
Tumeshaiona hii pichaš„²
Sure, Siasa za Tz hazina mvuto tena. Tumeshashtukia maigizo yao wala tusipoteze muda kuwapa Attention tufanye shughuli zetu kwa familia zetuHiyo mbinu ishapitwa na wakati, wananchi tushaichoka. Na wanasiasa wote tumewachoka sio chama tawala wala hao wenzao upinzani.
Ss hivi hata kwenye mikutano yao watu hawajui zaidi wanawapata wanachama wanufaika wenzao. Watu tuko busy na maishaSure, Siasa za Tz hazina mvuto tena. Tumeshashtukia maigizo yao wala tusipoteze muda kuwapa Attention tufanye shughuli zetu kwa familia zetu
Kumbe Membe alijifanya kafukuzwa!Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.
Tumeshaiona hii pichaš„²
Acha kukariri dogoHuu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe.
Tumeshaiona hii pichaš„²