jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani.
kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa kumpiga risasi na kumuua CEO wa kampuni ya bima ya afya maarufu nchini Marekani Thomson Brian.
Leo hii ametiwa nguvuni baada ya msako mkali wa polisi. maganda ya risasi yaliyookotwa yana maandishi maarufu ya namna mashirika au kampuni za bima ya afya zinavyokandamiza haki ya matibabu kwa wamarekani.
DENY, DEFEND AND DEPOSE!!
Hivi karibuni mhe.Rais Samia Suluhu Hassan aliridhia sheria muhimu ya bima ya afya kwa wote ambayo itawezesha wadau mbalimbali kuanzisha mifuko ya bima ya afya.
mauaji ya CEO huyu ni tahadhari kubwa kwetu kama taifa ya kwamba afya ni sekta ya huduma na kamwe isitumike kama biashara ya kujineemeesha zaidi itumike kama huduma
- Bima ya Afya kwa wote wataalamu msizunguke mbuyu utekelezaji uanze mara moja!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!