uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Uko sahihi kabisa. Mimi ni shabiki wa Chelsea tangu enzi za akina Didier Drogba. Ila niwe tu mkweli; mimi ni kati ya watu waliochukizwa na uhuni aliofanyiwa Roman Abramovich.Tatizo walimudhurumu yule mrusi jasho lake
Wale Wamarekani wanataka makocha kaini kaini iki wawaburuze wapendavyo. Na hili litaiathiri hiyo timu.Kama chelsea inataka kujikwamua kutoka katika shimo walilotumbukia kocha eniruque ndiye ambaye anaweza kuibadilisha chelsea tofauti na hapo was filed maumivu
Habari zinasema alinyimwa kazi na chelsea kwasababu alitaka apewe mamlaka zaidi km ilivyo Pep ili boel alikataa wazo lake
Kwa makocha wasio na kazi eniruque ndiye alikuwa mtu sahihi huyu jamaa anajua sana
Chelsea wakujichanganya kocha km utani msimu ujao wanaweza kushuka daraja