Luis Enrique ndiye kocha sahihi kwa Chelsea nje ya hapo Chelsea inaweza kupotea kabisa

Luis Enrique ndiye kocha sahihi kwa Chelsea nje ya hapo Chelsea inaweza kupotea kabisa

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Kama Chelsea inataka kujikwamua kutoka katika shimo walilotumbukia kocha Eniruque ndiye ambaye anaweza kuibadilisha Chelsea tofauti na hapo was filed maumivu

Habari zinasema alinyimwa kazi na Chelsea kwasababu alitaka apewe mamlaka zaidi km ilivyo Pep ili boel alikataa wazo lake

Kwa makocha wasio na kazi Eniruque ndiye alikuwa mtu sahihi huyu jamaa anajua sana

Chelsea wakujichanganya kocha km utani msimu ujao wanaweza kushuka daraja
 
Tatizo walimudhurumu yule mrusi jasho lake
Uko sahihi kabisa. Mimi ni shabiki wa Chelsea tangu enzi za akina Didier Drogba. Ila niwe tu mkweli; mimi ni kati ya watu waliochukizwa na uhuni aliofanyiwa Roman Abramovich.

Tangu afanyiwe ule uharamia na Serikali ya Uingereza! Mpaka leo Chelsea imebakia kuwa ni tia maji tia maji.
 
Kama chelsea inataka kujikwamua kutoka katika shimo walilotumbukia kocha eniruque ndiye ambaye anaweza kuibadilisha chelsea tofauti na hapo was filed maumivu

Habari zinasema alinyimwa kazi na chelsea kwasababu alitaka apewe mamlaka zaidi km ilivyo Pep ili boel alikataa wazo lake

Kwa makocha wasio na kazi eniruque ndiye alikuwa mtu sahihi huyu jamaa anajua sana

Chelsea wakujichanganya kocha km utani msimu ujao wanaweza kushuka daraja
Wale Wamarekani wanataka makocha kaini kaini iki wawaburuze wapendavyo. Na hili litaiathiri hiyo timu.

Kimsingi Chelsea inahitaji makocha wakali wa aina ya Luis Enrique, Jose Mourinho, nk. Na siyo akina Graham Porter, Frank Lampard, nk. Maana wachezaji wa Chelsea kwa sasa wamebweteka mpaka basi.

Ikiwezekana mwishoni mwa msimu, waondoe wachezaji mizigo wote kwenye klabu.
 
Timu inalipia laana aliyoiacha Abramovich baada ya hujuma nzito aliyofanyiwa.
Huenda msimu ujao ikashuka daraja.
 
Back
Top Bottom