Luis Jose Miquissone asajiliwa rasmi Simba leo

Luis Jose Miquissone asajiliwa rasmi Simba leo

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Klabu ya Simba ya Tanzania imethibitisha kumsajili winga Luis Jose Miquisone kutoka kutoka klabu ya UD Songo ya Mozambique ambayo ndiyo bingwa mtetezi wa ligi kuu ya nchi hiyo.

Kiungo huyo tayari amekabidhiwa jezi yake tayari kabisa kwa ajili ya kuanza kuitumikia miamba hiyo ya mtaa wa Msimbazi.

Taarifa zinaeleza kuwa winga huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili.

Aidha, kwaupande wake Miquissone anaeleza anasema "nina furahia kujiunga klabu kubwa kama simba, natumai nitaisaidia katika mechi zijazo"

Ameongeza kuwa "Nimekuwa nikiifuatilia klabu hii tangi mara ya mwisho nilipocheza nayo katika mechi ya klabu bingwa Afrika. hivyo nina furaha sana kujiunga nayo".

Miquissone anakuwa ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na klabu ya Simba katika dirisha hili dogo la usajili.

1578313917144.png

Zaidi Soma:
The Tanzanian giants have moved to sign the winger with their main hopes pegged on winning the league title
Simba SC have confirmed the signing of winger Luis Jose Miquissone.

The Mozambican player has joined the Tanzanian Mainland champions from UD Songo after agreeing to sign a two-year contract.

Simba have confirmed the capture of the player on their Facebook page saying: “We welcome new signing Luis Jose Miquissone and wish him well as he starts his journey with this great club.”

On his part, Miquissone, said: “I am delighted to join a big club like Simba and will look forward to helping them do better in their upcoming matches. I have been following the team since we played against them in the Caf Champions League and I am finally happy to have joined them.”

Miquissone has been unveiled in time and could be involved when Simba take on rivals Young Africans (Yanga SC) in the opening derby of the season at the National Stadium in Dar es Salaam on Saturday.

Last season, Simba took the bragging rights after managing a draw in the first meeting and winning the reverse fixture 1-0 courtesy of a goal scored by former Gor Mahia striker Meddie Kagere.

Miquissone becomes the first signing for Simba this transfer window.

Chanzo: Goal.com





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mchezaji huyo Simba imelamba dume! Nawapongeza kwa hilo. Kwenye ile mechi ya marudio na Ud Songo, hakika aliwapoteza viungo wote wa simba.

Yanga wajifunze kutoendelea kurudia makosa. Walimkosa Meddie Kagere kwa ujinga huu huu!
Viongozi hawawezi kabisa kufanya mambo yao kwa usiri. Hela yenyewe ya mawazo! Mwisho wa siku tunaishia tu kuwa na wachezaji aina ya Molinga!
 
AJIANDAAE TUUU KUPAMBANA NA MIISUMARIII NJE YA UWANJA ELSE ATAKIMBIAAA AULIZE KINA SE....WALE NDUGU WALIOTOKE GORMAHI N AKAMUULIZE H.NIYWALICHOKUWA WAKIKIONA KABLA YA MECHI KWIKWIKIW SIO MSEMAJI WA CLUB
hiyo misumari mbona haimpati Okwi au Kagere
 
Kwa mchezaji huyo Simba imelamba dume! Nawapongeza kwa hilo. Kwenye ile mechi ya marudio na Ud Songo, hakika aliwapoteza viungo wote wa simba.

Yanga wajifunze kutoendelea kurudia makosa. Walimkosa Meddie Kagere kwa ujinga huu huu!
Viongozi hawawezi kabisa kufanya mambo yao kwa usiri. Hela yenyewe ya mawazo! Mwisho wa siku tunaishia tu kuwa na wachezaji aina ya Molinga!
Naona bado mnaweweseka kwa kutolewa na US Dong !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom