Luis Miqsonne avunja mkataba na Al Ahly

Luis Miqsonne avunja mkataba na Al Ahly

Ndio safari ya Kurudi Unyamani eeee?
FB_IMG_16897556763325407.jpg


Screenshot_20230719-124051.png
 
Atakuwa na ubora wake?

Simba wasisajili jina, wasajili kiwango.

Lakini kama bosi keshatetemeshwa na kuwa huru mchezaji.....
 
Mchezaji Louis amevunjiwa mkataba na klabu Al AHLY ya Misri .baada ya kumuona mzigo kwa kila kocha aliyepita klabuni hapo.hata alipotolewa kwa mkopo alirudishwa kabla muda,na hakuna timu ilimuhitaji hata waliposhusha thamani Bora aondoke. kutokana kiwango kidogo hakuna ofa.amekaa zaidi ya mwaka bila kugusa boli.ni free agent hakuna klabu inamuhitaji.klabu za bonge free agent anaelea
 
Shaka yangu ipo hapo
Hamkutaka kujifunza kwa Makambo na Yanga, halafu uboya zaidi ni kumpa mkataba wa miaka mitatu.

Akiunder perform mkitakata kumuacha inabidi mvunje mkataba kwa kumlipa.

Kwa maoni yangu Miquison alistahili mkataba wa mwaka mmoja wenye option ya kurenew akionesha kiwango kizuri.
 
Back
Top Bottom