Nyie Simba shukuruni mtacheza na Platinum ya Zimbabwe. Kuna Platinum ingine Africa ya Kusini kwa mzee Madiba mngepangiwa huko huyu dogo msingerudi nae, angebaki huko huko. Hela yangu ya kiingilio ni huyu dogo tu kaitendea haki vinginevyo nilikuwa nimeliwa.
Simba wamecheza mpira mbovu hasa kipindi cha pili kuchelewa kukawa kwingiiii, viungo walikuwa hawatoi pasi za mwisho safi zilikuwa pasi za butuabutua tu mpaka huyu dogo Luis Miquissone akachukia akaamua afanye vitu vya tofauti halafu refa akapeta penalty aliyokuwa amesababisha yeye.
Hivi kweli huyo dogo ni mmakonde? Mmakonde wa wapi? Mtwara vijijni, Tandahimba au Newala? Niambieni ni makonde wa wapi? Nanyamba au Mkonjowano au Mkoti 2?