enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Utopolo wazee wa kubadilisha magoli, mwaka huu mtapata tabu san.Kiwango chake cha kawaida sana ndiyo maana South alitemwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo wazee wa kubadilisha magoli, mwaka huu mtapata tabu san.Kiwango chake cha kawaida sana ndiyo maana South alitemwa
Wezi wa simu roho zinawaumaaa!!!!Ndo hivo tunasonga mbele hayo mengine ni bla bla za wakosaji
Hawa wanachoweza ni kukwapua simu za wageni wao tu kudadadequtabakia hivyo hivyo. achia moyo wako upatiwe burudani.
Kocha wa Simba ana Visasi mno na Wachezaji, angalia Kahata na Kagere kaamua kuwaweka Benchi huku akimchezesha Dilunga na Boko ambao kwa kweli Viwango vyao viko chini mnooo.Dogo yupo vizuri ila simba wabadilike kidogo ili hatua inayofuata wawapige wazimbwabwe kabisa hukohuko kwao,cha msingi niwatakie heri wanasimba na timu kwa ujumla