Luis Miquissone, Konde boy

Luis Miquissone, Konde boy

Dogo yupo vizuri ila simba wabadilike kidogo ili hatua inayofuata wawapige wazimbwabwe kabisa hukohuko kwao,cha msingi niwatakie heri wanasimba na timu kwa ujumla
 
Dogo yupo vizuri ila simba wabadilike kidogo ili hatua inayofuata wawapige wazimbwabwe kabisa hukohuko kwao,cha msingi niwatakie heri wanasimba na timu kwa ujumla
Kocha wa Simba ana Visasi mno na Wachezaji, angalia Kahata na Kagere kaamua kuwaweka Benchi huku akimchezesha Dilunga na Boko ambao kwa kweli Viwango vyao viko chini mnooo.
Najiuliza Bwalya, Morrison, Mugalu, Onyango walisahiliwa wa Nini maana hawachezeshwi na Kocha kuashiria kwamba haikuwa chaguo lake.
Haya kocha alimtaka Charles Ilafya lkn kamtimua kikosini, sasa huyu kocha wa nini??? Ptalinum wanacheza mpira ule uleeee wa Prison, ni watu wa kazi kazi na miiili mikubwa wakati huo huo Simba karbia wachezaji wanne wanaochezeshwa na Kishingo hawana msaaada, Chama, Boko, Dilunga na Mzamiru kwasasa ni Mzigo.
Chama kuna kitu hakiko sawa kichwani mwake atafutiwe mtaalam wa Saikolojia mapema au Avunjiwe urafiki na Mkude aache kumpeleka kwa Malaya wa Kino.
Tukizingatia haya Platinum atang'oka
 
Back
Top Bottom