Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Katka maisha kuna kitu kinaitwa kulizika ikifika hio stage kila kitu unaona normal nahutamani kufanya kitu kingine zaidi na huna shauku kufikia kitu kingine kwakua umelizika,kwangu mm he need to do what he was doing before go back to basics train hard and wait for the opportunity
Hapa ngumu kubaini Ila zinaweza kutoka nje na ndani ( kotekote )....unakumbuka ile sakata ya kapombe na mwenda??Huo uchawi wanarogwa na watu wa nje au wanarogana?
Watu wanapiga sana ulozi. Mnamsema Miquisson tu ni kumuonea. Wachezaji wote wa Simba ukiwatizama kwa sasa ni kama vile akili na mwili vinaongea lugha mbili tofauti. Hata wachezaji wa ile timu nyingine ya Kariakoo mnafikiri wanachodeliver ni kiwango chao halisi. Pale Simba kwa sasa hata wakiwachukua wachezaji nguli wa timu zote za Afrika wakawasajili wataonesha kiwango kwa mwezi mmoja hadi mitatu baada ya hapo ni uvundo mtupu. Kosa kubwa Simba wamelifanya ni kumfukuza bwana yule aliyeondoka na mtu wake ambaye kwa sasa anafanya kazi upande wa pili.
Kama ndio hivyo tukiri Basi viongozi wa Simba wamerudia SAME mistake Kama ilivyokuwa kwa sawadogo right???? (Kutokana na maelezo YAKo )Ametoka kukaa nje ya uwanja zaidi ya miezi 6+ alipokuwa Aly Ahly alikuwa anacheza kwa manati dk 10-15 tu...!!, Amekuja kwenye timu inayohitaji matokeo ya mchezaji moja kwa moja bila kujua hali yake aliyonayo yakutokuwa na match fitness, mazoezi yakutosha.
Ndio uhalisia hakuna timu kubwa yoyote inayoweza kumsajiri mchezaji ambaye amekaa Zaid ya miezi 6 bila timu na kucheza!!, Sawadogo na MIQUISONE ni mifano hai. Wote wamefeli....!.Kama ndio hivyo tukiri Basi viongozi wa Simba wamerudia SAME mistake Kama ilivyokuwa kwa sawadogo right???? (Kutokana na maelezo YAKo )
Tatizo sio fans pressure... Inshu ngumu nayoina kwake n kama vile kocha hatampa nafasi na wala hatasumbuka Naye hapo natumia tu saikolojia ndogo kumsoma Benchika kile alichosema wakati anakuja...Kwa hii fans pressure aliyopo Simba viongozi wanaweza kumvumilia kweli mpk ajipate???
Morrison kabla hajaja hapa bongo kucheza Dar Young Africans unajua alikua amekaa nje ya uwanja Kwa muda gani?Ndio uhalisia hakuna timu kubwa yoyote inayoweza kumsajiri mchezaji ambaye amekaa Zaid ya miezi 6 bila timu na kucheza!!, Sawadogo na MIQUISONE ni mifano hai. Wote wamefeli....!.
Yanga ni timu kubwa Hapa Tz sio kwenye ulimwwngu wa mpira wa professional!. Nilitegemea uniambie Madrid,Man City au Bayern... Tz hakuna professionalism kwenye suala la usajiri. Pia Max ametoka Maniema akicheza acha kudanganyaMorrison kabla hajaja hapa bongo kucheza Dar Young Africans unajua alikua amekaa nje ya uwanja Kwa muda gani?
Hata huyu Max zingeli alikua nje ya uwanja Kwa muda gani? hebu fatilia...
Taifa likiwa na watu wa hivi usitalajie shida ya umeme kuisha.Braza amini nakwambia isingekuwa silaha aliyoipeleka kule wasingekuwa tayari kumpokea. Sawa ameenda kula pesa sikatai. Jamaa alileta mtaalamu wa mambo ya utamaduni pale mtaa wa Msimbazi, kama unafuatilia Simba kipindi cha nyuma walikuwa wanafanya kinachofanywa na nyuma mwiko sasa hivi (kutoa misaada kwa watoto yatima, wazee na makundi maaalum mengine). Ndio maana alikuwa anasemaga Simba itachukua ubingwa 10 years back to back.
Wewe unajiita Dkt. ni takataka kama takataka zingine tu.Taifa likiwa na watu wa hivi usitalajie shida ya umeme kuisha.
Kwani simba wamekatazwa kwenda kutoa misaadaBraza amini nakwambia isingekuwa silaha aliyoipeleka kule wasingekuwa tayari kumpokea. Sawa ameenda kula pesa sikatai. Jamaa alileta mtaalamu wa mambo ya utamaduni pale mtaa wa Msimbazi, kama unafuatilia Simba kipindi cha nyuma walikuwa wanafanya kinachofanywa na nyuma mwiko sasa hivi (kutoa misaada kwa watoto yatima, wazee na makundi maaalum mengine). Ndio maana alikuwa anasemaga Simba itachukua ubingwa 10 years back to back.
Ana Assists nyingi kwenye ligi kuliko NtibazonkizaAmetoka kukaa nje ya uwanja zaidi ya miezi 6+ alipokuwa Aly Ahly alikuwa anacheza kwa manati dk 10-15 tu...!!, Amekuja kwenye timu inayohitaji matokeo ya mchezaji moja kwa moja bila kujua hali yake aliyonayo yakutokuwa na match fitness, mazoezi yakutosha.
Assist za piga nikupige🤣Ana Assists nyingi kwenye ligi kuliko Ntibazonkiza