Luis Suarez: Mhispania Pekee Aliyewahi Kushinda Ballon D'Or

Luis Suarez: Mhispania Pekee Aliyewahi Kushinda Ballon D'Or

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
200px-Luis_Su%C3%A1rez_Miramontes_1962.jpg

Anaitwa Luis suarez Miramontes, Ndio Mhispania Pekee Aliyewahi Kuchukua Balon d'or mwaka 1960 Akiwa na Team ya FC Barcelona!
Najua Wengi Hili Hamlijui ila Nimeamua Kuwasogezea Hapa Karibu!
 
Attachments

  • upload_2017-6-23_16-47-59.jpeg
    upload_2017-6-23_16-47-59.jpeg
    7.6 KB · Views: 48
Nilistuka kidogo. Nilivyosogea chini nikazima sigareti
 
Niliandaa hoja kupinga uhispania wa luis suarez m Uruguay anayetisha kwa kutikisa kamba katika fc Barça ya zama hizi.
 
Kwa wanamichezo wengi wanalitambua hilo, ila kwa washabiki hii ni habari mbaya na ya kushtusha JF.
 
200px-Luis_Su%C3%A1rez_Miramontes_1962.jpg

Anaitwa Luis suarez Miramontes, Ndio Mhispania Pekee Aliyewahi Kuchukua Balon d'or mwaka 1960 Akiwa na Team ya FC Barcelona!
Najua Wengi Hili Hamlijui ila Nimeamua Kuwasogezea Hapa Karibu!
Una bahati, nilikuja kukukosoa!
 
Back
Top Bottom