Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una bahati, nilikuja kukukosoa!![]()
Anaitwa Luis suarez Miramontes, Ndio Mhispania Pekee Aliyewahi Kuchukua Balon d'or mwaka 1960 Akiwa na Team ya FC Barcelona!
Najua Wengi Hili Hamlijui ila Nimeamua Kuwasogezea Hapa Karibu!
Shukrani mkuu...katika maneno ya kiingereza yanayonipiga chenga mpaka leo ni hiyo title na tomorrow/tommorow.Kweli kabisa.
Pia ni title.