Lukaku akifanyiwa vipimo vya afya jijini Manchester leo

Lukaku akifanyiwa vipimo vya afya jijini Manchester leo

Mourinho anakurupuka, Pogba 89Mil, Lukaku 75Mil na wote ni failures

upeo wako kaangalie statistic za pogba au unataka afunge goli 39 kwa msimu kwakukusadia mamchester united imetoa suluhu nyingi wajua tatizo liko wap kwa kila game pogba alitengeneza zaid ya nafas nne za magoli
 
Kazi yake kubwa ni kubadili style za nywele

acha uongo pogba anaongoza kwa kutengeneza nafas nyingi za kufunga striker hawakuwa makini tafuta statistics zake
 
Hahahahhahah...machozi yalikuwa yakinilengalenga baad ya kuisoma taarifa ya dogo Bradley kufariki dunia. Mara nakuja huku namkuta Lukaku anafanya vipimo hahahahhhahah. Ila wanafanana. Hahahhahhah mleta mada hii pic peleka kule kwenye Uzi wa united hahahahahhah
 
Back
Top Bottom