Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

Lukaku ni anatumia uwezo binafsi,..ii inaweza ikamchanganya akiwa man u,kama wenzake hawata MPA support,.. Morata ni very intelligent striker kwa iyo wakicheza na hazard they can make wonders kama wakielewana,
...watakua invincible
Unawajua akina RYAN SHAWCROSS, REID, HUTH, SCOTT DUNN nk?!

MORATA akamuulize mspanish mwenzake JOSE REYES atamsimulia kuhusu EPL.

Leo nimecheki ile friendly ya USA, na ninaona LUKAKU atafanya vyema sana ... Kwa kuzungukwa na wachezaji kama POGBA, MICKI na MATA ukichangia na finishing yake tumelamba dume.

#GGMU#
 
Acha uzushi,siyo waliona walinyimwa mkuu,wao walitaka wakanyimwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu Rejao upo ndugu yangu, kitambo sana sijakuona kule kwenye jukwaa letu pendwa la kina Polepole.

Anyways turudi kwenye point yetu. Mkuu Arsenal kwa Man utd ni kama mbwa kwa Chatu. Hata tukiwa na watoto watupu huwa mnachanganyikiwa. Kumbuka tulikupiga nane kwa kikosi chenye mabeki 7, So Lukaku anaweza kuwa huwa hawasumbui, lakini kwa sasa mkuu unapaswa kumuogopa Lukaku zaidi ya ulivyokuwa unamuogopa Drogba.
 
Tores alikua mfungaji mzuri alipokua liverpool lakini alipokuja chelsea hakufanikiwa na alikua anacheza ligi ya uingereza ...kwahiyo haya mambo hayahitaiji uzoefu... ni mfumo tu wa uchezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie pigeni kelele ila Alexandre Lacazette ndio sumu... Ozil atatoa assists zaidi ya 20 msimu huu
 
Ili kuondoa fitina nimemwongeza Lacazette maana nae kavunja rekodi ya Arsenal. cc Nzi
Mkuu naona ubadili heading ya huu uzi, naona wanaojadiliwa hapa ni Morata dhidi Lukaku na siyo AL.
 
Mkuu naona ubadili heading ya huu uzi, naona wanaojadiliwa hapa ni Morata dhidi Lukaku na siyo AL.

Yeah nimemwongeza Lacazette maana nae kavunja rekodi ya Arsenal.
 
Naona ushakula maharage ya mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msichokijua wengi humu ni kwamba pale man utd kuna wachezaji wengi wa aina na uwezo wa morata mmoja wapo ni rashford, nazani mnapaswa kumlinganisha morata na rashford ila sio lukaku sababu ni wachezaji wa aina tofauti kabisa, hivyo man utd walikua wanamuhitaji mtu wa aina ya lukaku zaid ya aina ya morata, morata is more creative ana dribble nzur na anaweza cheza nafasi yeyote pale mbele, lukaku is completed number 9 coz anaweza kuscore, ni mzuri kwa mipira ya vichwa na ni hatari zaid akiuweka mpira ktk guu lake la kushoto pia ana nguvu na uwezo wa kulinda mpira hata akizungukwa na mabeki wawili,
sawa ni bado mapema sana kubashiri ila mi naamini hata conte mwenyewe hajalizika sana na usajili wa morata sababu anajua wazi kua morata hataweza kufikisha hata magori aliokua anayafikisha diego cost kwa kila msimu coz yeye alkua anahitaji mchezaji namba 9 kamili na anayefikilia kufunga tu na sio mchezaji machachari na anaefikilia kupiga chenga na kuliacha gori. kutokana n mahitaj ya timu zote mbili naamin lukaku ndio mtu sahii sababu hizi timu zote mbili zilkua znamuhitaji mchezaj mwenye uwezo mkubwa wa kufunga magori na sio mchezaji mwenye vyenga vingi sababu tayari wanao watu hao mf hazad, wilihan, fabi n pedro pale chelse, pogba,mikh, mata, rashford na martia pale man utd hivyo mi naamin man utd wamelamba dume zaid y chelse na naamin mou atataka kumtumia lukaku km alvyokua akimtumia drogba, na conte yeye itabidi aanze kutengeneza mifumo upya ambayo itaendana na morata na atafanikiwa hilo hakika chelse watakua timu tishio sana tena hasa ktk uefa mimi nawaona tayari ktk fainal, ila ktk EPL sizan km watafany vzr sana sababu wana kikosi kidogo na timu nyingi za epl zitawakamia ila naamin watakuepo ndan y top 4, nahis man utd watafany vzr zaid ktk Epl na naliona kombe l epl tayar pale ot ila hawatafika mbali sana ktk uefa, mwisho; Arsenal ndio itakua surprise package yang msimu huu naamin kibabu kitafanya kitu kikubwa sana n kizur msimu huu ambacho watu hatutakiamin.
GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
kufunga goli 7 au 8 msimu mzima ndio kudumu? misimu miwili aliokaa italy kafunga goli 15 tu.

wakati lukaku misimu miwili kafunga goli 43.
Mkuu Chief naona leo unaendeshwa na mapenzi kwa timu yako kulko kuchambua kiuhalisia ..
Tunachosema hapa ni kuwa kwanza Morata awali aligombewa na timu mbili man na chelsea sasa jiulize kama Lukaku was the best kwann nyie man mliyltoa priority kwa Morata kabla ya kuzinguliwa na Madrid ndio mkaufyata mkachukua sec option ya lukaku...elewa mkuu kuwa Morata was and is the best as this time we are writting here..now

Kuhusu records za lukaku na morata wala huwez linganisha maana kabla ya kuwalinganisha lazima uchek wamecheza how many minites na sio idadi ya gemu, pia morata amecheza mechi chache na dk chache kutokana na kuzungukwa na magwiji akina ronaldo na benzema ila kama akiwekwa kwenye timu pekeake pale mbele kama na streaker wa pekee utaona impact yake..
We mkuu subiri uone mambo yake The-Bluuz kisha urudi hapa ucomment..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…