Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

Sisupport Arsenal ila katika hao watatu, Lacazette ni mashine. Huyu jamaa ukimpa goal-scoaring chances 5, anaweza kutupia kimbani hata 3. Jaribu **** chances hizo Moratta au Heavy weight Lukaku. 0/5.
 
Lukaku bado ni Bora against hao wote uliowataja licha ya kuwa na kiwango kibovu kipindi hiki, msimu uliopita alifunga goli 16 je Lacazette na Morata walifunga ngapi ngapi?

Lukaku wa Everton ni timu gani kubwa duniani isingemchukua?
 
Lacazette Alifunga 14 Licha ya kukaa karibu miezi miwili nje
 
Back
Top Bottom