Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan...Lacazette akose namba????Wote hao ni washambuliaji wa kawaida sana ambao hawawezi kupata namba Nou Camp wala Santiago Bernabeu
Lacazette Alifunga 14 Licha ya kukaa karibu miezi miwili njeLukaku bado ni Bora against hao wote uliowataja licha ya kuwa na kiwango kibovu kipindi hiki, msimu uliopita alifunga goli 16 je Lacazette na Morata walifunga ngapi ngapi?
Lukaku wa Everton ni timu gani kubwa duniani isingemchukua?
Lacazette Alifunga 14 Licha ya kukaa karibu miezi miwili nje
Si kwa sasa tu... Bali sikuzoteIts true kati ya hao watatu aliye na kiwango hivi sasa ni Lacazette peke yake
Si kwa sasa tu... Bali sikuzote
Unamjua Lacazette wa Lyon ww???Lacazette hawezi kumzidi Lukaku wa Everton, ila anamzidi Lukaku wa Man Utd
Unamjua Lacazette wa Lyon ww???
Mashindano yote Lacazette anatupia 30+ per seasonSasa kuchukua kiatu kwa goli 25 za ligue one ndio utafananisha na 20+ goals za Lukaku misimu yote alikuwepo Everton?