Ni goli linaloweza kufungwa na mchezaji yeyote wa kawaida, haliashirii uwezo wa ziada wa mfungaji.sasa mbona katupia?
Barca kila wakikutana Madrid analiaPunguzeni midomo basi mwe! Game mmoja tu jamani ...timu gani Leo hii uikutanishe na Madrid isipokee kipigo?
Sent using Jamii Forums mobile app
BARCELONA FCPunguzeni midomo basi mwe! Game mmoja tu jamani ...timu gani Leo hii uikutanishe na Madrid isipokee kipigo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawia kabisa....!!Hawa jamaa hela walizonunuliwa na wanachokicheza uwanjani ni vitu viwili tofauti. Rejea mechi ya Super cup.
Hasa huyu Pogba anaigharimu sana timu kwenye mechi kubwa. Mou asipoangalia tabia yake ya kuendelea kumkumbatia Pogba itagharimu kibarua chake Man Utd.
Lukaku is an average player for average team. Man Utd walihitaji straika wa kariba ya Lewandowski kinyume na hapo Lukaku awasubiri kuwafunga Burnley au West Brom.
Ni mtizamo tu.
Haiwezeka sehemu za kutoa pass anapiga mikasiUna akili sana mkuu na unaufahamu mpira vyema.
Dogo hamna kitu kabisa ana dangadanga tu uwanjani na kujiona bonge la starHaiwezeka sehemu za kutoa pass anapiga mikasi
Mara nyengine inabidi tusaidie kutoa ufafanuzi kwa hawa mashabiki wanaojali zaidi mapenzi kuliko uhalisia.Asante kwa kunisaidia kutoa ufafanuzi murua na sahihi.