Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Hawa jamaa hela walizonunuliwa na wanachokicheza uwanjani ni vitu viwili tofauti. Rejea mechi ya Super cup.
Hasa huyu Pogba anaigharimu sana timu kwenye mechi kubwa. Mou asipoangalia tabia yake ya kuendelea kumkumbatia Pogba itagharimu kibarua chake Man Utd.
Lukaku is an average player for average team. Man Utd walihitaji straika wa kariba ya Lewandowski kinyume na hapo Lukaku awasubiri kuwafunga Burnley au West Brom.
Ni mtizamo tu.