Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Katika makubaliano ya kusitisha uasi wa kundi la Wagner uliofanyika katikati ya mwezi uliopita ilitajwa kiongozi wa kundi hilo angekaa uhamishoni nchini Belarusi.
Kiongozi wa Belarusi,Lukashenko kulipotokea uvumi wa kutoonekana kwa Prigozhin nchini mwake aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuthibitisha kuwepo kwa kiongozi huyo nchini mwake.
Katika siku za karibuni ndege binafsi za Prigozhini zimeonekana kuruka na kutua baina ya miji ya Urusi na Belarus ikitajwa kuwa kiongozi huyo amekwenda kuchukua mabilioni ya fedha zake zilizotaifishwa pamoja na silaha zake ili
Kuzihamishia nchini Urusi.Alipohojiwa kwa mara nyengine Lukashenko amesema kiongozi wa Wagner hayupo nchini humo na kwamba yuko katika ardhi ya Urusi.
Je, Putin anaweza kuwa mkarimu kiasi hicho cha hiyo cha kumkabidhi kiongozi aliyefanya uasi mkubwa pesa zake zote na silaha.