Nikikuona umeenda kwa bahati mbaya Mbinguni nitawaambia malaika mtoeni huyu amepotea njiaNi kawaida abiria kutambua uwepo wa abiria mwenzake kwenye safari moja...
na malaika watakushangaa... iweje utoe amri haliyakuwa wewe mwenyewe ni mgeni wa muda tu...Nikikuona umeenda kwa bahati mbaya Mbinguni nitawaambia malaika mtoeni huyu amepotea njia
na malaika watakushangaa... iweje utoe amri haliyakuwa wewe mwenyewe ni mgeni wa muda tu...Nikikuona umeenda kwa bahati mbaya Mbinguni nitawaambia malaika mtoeni huyu amepotea njia
Basi tutaona siku ikifika ni nani atakuwa wa kwanza kuingia malango yale?na malaika watakushangaa... iweje utoe amri haliyakuwa wewe mwenyewe ni mgeni wa muda tu...
ukumbuke tu kwamba nitakuwa mwenyeji wako nikikusubiri... ili nikupokee na kukukaribisha mgeni...Basi tutaona siku ikifika ni nani atakuwa wa kwanza kuingia malango yale?
Mhh, bado mnabishana tu?ukumbuke tu kwamba nitakuwa mwenyeji wako nikikusubiri... ili nikupokee na kukukaribisha mgeni...
tulishamaliza kiongoziMhh, bado mnabishana tu?
CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda Tutawashawishi wananchi wampe Magufuli ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.Ili awe role model, awe mfano kwa wengine nao waige na kuwasaidia wenye shida.
Huenda amekusudia hivyo.
Okay...CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda
chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Magufuli ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.Mhh, bado mnabishana tu?
haya kijanachadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Magufuli ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
Kama Rais Magufuli ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Magufuli.Infantry Soldier umesikia shavu hilo linakuja mjita wewe
JPM mbele kwa mbele.Kama Rais Magufuli ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Magufuli.
Utafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98% Miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Magufuli atatufanya tuwe kama Qatar.Mhh, bado mnabishana tu?
Okay mkuu...Utafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98%
Weekend inakuja hiyo mkuu.tulishamaliza kiongozi
Angekuwa m-bongo sasa kama hakikupa hata buku tano unashukuru Mungu
Huyu bwana mdogo hakuwa na nauli au alitaka kujimwambafai?
Hapa hapa Tanzania?watu wenye magari huwa wanajisahau sana,kuna jamaa alitoka kwake amevaa boxer huku anaendesha gari,kufika njiani gari ikazima na hana hata tsh mia.alikua amevaa boxer na vest
Hapa hapa Tanzania?