LUKU hainunuliki, TANESCO tatueni kero hii

LUKU hainunuliki, TANESCO tatueni kero hii

pansophy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
502
Reaction score
320
Maharage Chande na Januari Makamba mzigo umewashinda.

Luku hainunuliki muda huu na taarifa hamtoi, hili shirika la umeme sio hisani ni haki yetu
 
Maharage Chande na Januari Makamba mzigo umewashinda. Luku hainunuliki muda huu na taarifa hamtoi, hili shirika la umeme sio hisani ni haki yetu
Jaribu kupunguza kiasi cha pesa, sababu mimi nimenunua nimepata Units ndogo sana, nadhani wameongeza bei.
 
Ukiwa na vijisenti fanya utaratibu wa kununua nyingi nyingi kuepukana na matukio kama haya wakati mwingine bongo mambo hayatabiriki mkuu.
 
Back
Top Bottom