LUKU inakula umeme sio poa

LUKU inakula umeme sio poa

Natafakari mm umeme wa 20,000/= nilipata unit 56 zilikaa siku 10.

Natafakari baada ya kusoma humu juu ya matumizi kuwa makubwa kwenye LUKU.

Lkn watoto wangu Wanaungurumisha FENI usiku kucha , vyumba 2, mara mchana wanasahau wakitoka vyumbani kuzima feni.

Wali wanapikia cooker, nje kuna taa kwenye ukuta.

Lkn kipindi cha nyuma nilikuwa namaliza walau siku 20.
 
Back
Top Bottom