Lukuvi, mbona ofisi za kila mkoa ulizozifungua kumaliza taratibu za umiliki wa ardhi hazifanyi kazi? Bado tunalazimika kwenda ofisi za Kanda na Dar

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ulitutangazia na tukakuona kwenyeTv ukisema kuwa process/procedure zote za umiliki wa ardhi ( kiwanja/viwanja) zitamalizwa na mkoa (ulianzisha ofisi za ardhi kwa baadhi ya mikoa) bila kwenda Dar/ Moshi/Mwanza kwenye kanda kama taratibu za zamani zilivyo kuwa.

Leo naona bado utaratibu wa zamani unaendelea kwa watu kwenda Moshi/Dar/Mwanza etc.

KUNANI Mh?
 
Alitutangazia pia KUWA itakuwa rahisi kupata hati za viwanja kuliko hapo awali!! Uweli ni kwamba maofisa wake wa Ardhi wilayani na mikoani wote ni wala rushwa ; hivyo huwasumbua sana wananchi kupata hati zao ukianzia na afisa ardhi wa wilaya ya HAI!!!! Lukuvi chukua hatua ama siyo utatumbuliwa hivi karibuni kwani utaonekana umezeeka huwezi kazi!!! Tumbua kabla ya kutumbuliwa.
 
Mkuu naona unataka kupotosha umma labda ungeelezea kwa kina kisa chako kilichokukuta lakini kwa sasa hivi shughuli zote za umiliki wa Ardhi zinaanza na kumaliziwa kwenye Mkoa husika tofauti na hapo awali ilitulazimu kwenda kanda.
 
Alitutangazia pia KUWA itakuwa rahisi kupata hati za viwanja kuliko hapo awali!! Uweli ni kwamba maofisa wake wa Ardhi wilayani na mikoani wote ni wala rushwa ; hivyo huwasumbua sana wananchi kupata hati zao ukianzia na afisa ardhi wa wilaya ya HAI!!!! Lukuvi chukua hatua ama siyo utatumbuliwa hivi karibuni kwani utaonekana umezeeka huwezi kazi!!! Tumbua kabla ya kutumbuliwa.
YUPO NA WA MANISPAA YA SUMBAWANGA YEYE ANAGAWA VIWANJA VYENYE HATI KWA WAMILIKI WENGINE BILA KUFUATA SHERIA
 
Mimi kama mdau wa sekta hii wekeni vya ukweli sio majungu Rushwa yako ulimpa afisa ardhi gani na alifanya nini au alikujibu nini hakuna bla bla hapa
 
Hao tuliowataja wakitaka ushahidi mamia ya wananchi watajitokeza; kwa mfano huyo wa Hai hana hata haja ya mashahidi , wakiwaita watajitokeza na kujaza mahakama!!! Kama mnabisha Lukuvi apeleke tume ikachunguze utendaji kazi wa wahusika!!
 
Back
Top Bottom