Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Kinachoonekana ni Lipumba kutumia mbinu chafu kupandisha chati yake ya umaarufu wa kisiasa
 
Mtenda akitendwa inakuwa nongwa. Lipumba alipiga kampeni msikitini. Hilo sijui kama kuna waliokemea

lipumba kwani alisema kwamba nchi hii itachukuliwa na wakrsito kama anavyosema lukuvi??
 
Nimesikia Waziri Mkuu anamkingia kifua as if aloyatamka Lukuvi ni suala dogo halina shida kabisa, kwa maana nyingine Muh. Pinda (Waziri Mkuu wa nchi, ambaye Lukuvi ni waziri wake) ana-suprt yalosemwa.
Hawa jamaa bwn.

Actuaaly ukifuatilia vizuri haya mambo, utajua hii kitu ipo engineered na kundi la viongozi. Mh. Lukuvi alikwenda Kanisani kuwakilisha mwaliko wa mh. Waziri Mkuu Pinda, hivyo lazima alibeba ujumbe wa Waziri mkuu pia. Sasa usishangae kuona Mh. Waziri Mkuu Pinda akimtetea kwa nguvu zote Mh. Lukuvi.
 
Back
Top Bottom