Atakuwa ameishiwa moyoni na akilini. Hawa ndio wanafiki wanaoifaa CCM. Alipokuwa CHADEMA, aliponda kila kitu cha CCM. Leo yupo CCM, atasifia upuuzi na ushenzi wote wa CCM. Akinyimwa uongozi huko CCM, ataitusi CCM kwa kila inachokifanya. Hii ndiyo tabia ya wanasiasa tumbo au wanasiasa malaya aliowatamka mwalimu Nyerere, wanasiasa wanaonunulika, wanauza utu wao na kubakia kama fisi kushangilia chakula, hata kama ni mzoga.