Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Mambo ya mapenzi ni magumu sana. Kama ambavyo huwezi kuhoji kwa nini huyo Majay aliingia kwenye mahusiano na Hamisa basi ndivyo ambavyo huwezi kuhoji kwa nini kamuacha. Labda niseme tu, mtoto si kigezo cha kukakaa kwenye mahusiano ambayo moyo wako hauridhiki. Mbaya zaidi tabia haina muda maalumu wa kubadilika, na pengine tabia ingejulikana inabadilika basi maamuzi ya kuzaa watoto yangefikiwa kwa uangalifu mkubwa.
 
Hapa zaidi lulu ila kwa Mobeto lulu hamkamati.Tuachane na hizo editing wanazofanya kiuhalisia lulu bila make up si mzuri Kama mobeto.
Nakubaliana nawe Mkuu, Me namkubalÍ sana Hamisa Mobetto yuko Vizuri sio mpaka afanye make Ùp ndo uuone uzuri wake.
Katika hao watatu waliopitiwa na Dj Majay list yangu itakuwa hivi
1.Hamisa Mobetto
2.Zuhura Gora
3.Lulu
 
Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Sasa hamisa na Lulu mbona kama kitabia wanafanana,jamaa kama anawafunua flani hivi,hebu angalia hyo picha ya Hamisa na ufananishe na za Lulu
 
Nakubaliana nawe Mkuu, Me namkubalÍ sana Hamisa Mobetto yuko Vizuri sio mpaka afanye make Ùp ndo uuone uzuri wake.
Katika hao watatu waliopitiwa na Dj Majay list yangu itakuwa hivi
1.Hamisa Mobetto
2.Zuhura Gora
3.Lulu
Humu ndani watu mnayajua ya watu,hebu Nifah njoo maana kuna siku uliugusia Ubuyu wa Majay na mitala yake
 
Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
Daaah,alimpenda na.alimzalisha.
Any way Jamaa labda ni FUNDI SANA
 
Inasemekana......jamaa alikuwa wa Lulu......Hamisa akampitia na mtoy juu......
Yaani ni sawa wewe uibe paka wa watu......halafu paka aamue kurudi kwao mdo mdo..........

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha haaaaaaaaaaaa
Hahahahahhahahahahahahahahahahahhaahahahahahaha

Duh Preta you rock
 
Majizo anawabandua tu halafu anapenda vitoto tu , Ila jamaa nadhani Labda Kondomu hatumiii, kamdhalisha Hamisa Mabeto Sasa yupo na Lulu , halafu hataki kabisa Watu wazima wenzake
Haka ka majizo kamekula chumvi ??!
 
Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
opportunity mwenzangu,hahaha mwanaume mwenye pesa kwa wengine ni job opportunity
 
Eti "Kimaadili niliyofundishwa mimi"..... Maadili gani hayo aliyofundishwa huyu mtoto anayemeza watu wazima!!??
93d6aab387dd9556cf45fafa895366a3.jpg

anameza?! [emoji85] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Back
Top Bottom