tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
duuuh kwa msaada wa wa2 wa marekani....
Mambo ya mapenzi ni magumu sana. Kama ambavyo huwezi kuhoji kwa nini huyo Majay aliingia kwenye mahusiano na Hamisa basi ndivyo ambavyo huwezi kuhoji kwa nini kamuacha. Labda niseme tu, mtoto si kigezo cha kukakaa kwenye mahusiano ambayo moyo wako hauridhiki. Mbaya zaidi tabia haina muda maalumu wa kubadilika, na pengine tabia ingejulikana inabadilika basi maamuzi ya kuzaa watoto yangefikiwa kwa uangalifu mkubwa.Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Ila hamisa nae alimkwapua kwa shoga akeIla inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,
Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
Nakubaliana nawe Mkuu, Me namkubalÍ sana Hamisa Mobetto yuko Vizuri sio mpaka afanye make Ùp ndo uuone uzuri wake.Hapa zaidi lulu ila kwa Mobeto lulu hamkamati.Tuachane na hizo editing wanazofanya kiuhalisia lulu bila make up si mzuri Kama mobeto.
Sasa hamisa na Lulu mbona kama kitabia wanafanana,jamaa kama anawafunua flani hivi,hebu angalia hyo picha ya Hamisa na ufananishe na za LuluUnajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Humu ndani watu mnayajua ya watu,hebu Nifah njoo maana kuna siku uliugusia Ubuyu wa Majay na mitala yakeNakubaliana nawe Mkuu, Me namkubalÍ sana Hamisa Mobetto yuko Vizuri sio mpaka afanye make Ùp ndo uuone uzuri wake.
Katika hao watatu waliopitiwa na Dj Majay list yangu itakuwa hivi
1.Hamisa Mobetto
2.Zuhura Gora
3.Lulu
Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.Humu ndani watu mnayajua ya watu,hebu Nifah njoo maana kuna siku uliugusia Ubuyu wa Majay na mitala yake
Acha tu,nimeamini Gari sio mwonekano ila ubora wa injini na spidi ndo vinamataMashaullah mtoto paja limeumuka ila kazidiwa ufundi
Daaah,alimpenda na.alimzalisha.Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
Inasemekana......jamaa alikuwa wa Lulu......Hamisa akampitia na mtoy juu......
Yaani ni sawa wewe uibe paka wa watu......halafu paka aamue kurudi kwao mdo mdo..........
Haka ka majizo kamekula chumvi ??!Majizo anawabandua tu halafu anapenda vitoto tu , Ila jamaa nadhani Labda Kondomu hatumiii, kamdhalisha Hamisa Mabeto Sasa yupo na Lulu , halafu hataki kabisa Watu wazima wenzake
opportunity mwenzangu,hahaha mwanaume mwenye pesa kwa wengine ni job opportunityNdio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] nakula bia ulinitorokaaMpunga weeeh, nimekumiso.
kuna mama mgonjwa teyari....Kila la heri, wajiupushe na UKIMWI tu.
Eti "Kimaadili niliyofundishwa mimi"..... Maadili gani hayo aliyofundishwa huyu mtoto anayemeza watu wazima!!??
Ila hamisa nae alimkwapua kwa shoga ake
Nani huyo tena mkuu?kuna mama mgonjwa teyari....