Kaogopa kuzaa kwa njia ya kawaida?
Hujaona kiulizo hapo mbele?Umejuaje kaogopa?
Wewe utajifungua lini?Habari za chini ya kapet zinasema, mcheza filamu mwenye mvuto wa aina yake, Elizabeth Michael (lulu), amejifungua kwa operation katika hospital ya saifee , unaambia katika hospital hiyo kwa siku wanatoza 1M , kweli lulu kabarikiwa, Mungu ampe nini mtoto wa watu, mume tajir, ana mtoto dahView attachment 1856833
Mapito aliyopitia yamemuimarisha.Nimependa kitu kimoja....
Huyu mtoto kapevuka mno kiakili sasa kama inafika hatua kajifungua na magazeti hajaandika au mitandao kuchafuka ....
Bro, kapata mke bora
Milioni moja ni nyingi ?haijafikia hata bei ya iPhone 12[emoji3062][emoji3062]ukizaa kwa operation hardly ukikaa hospital ni 3 days
Kumbe Majizzo alisubiri kwanza ili asiuziwe mbuzi kwenye guniaKumbe alifunga ndoa akiwa tayari ana mimba ya kama miezi 2 hivi..
Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa. Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi sasa wakipiga picha. Ikumbukwe Lulu alivalishwa pete ya uchumba kama suprize kwenye sherehe...www.jamiiforums.com
Hiyo ndio maana halisi ya "mke bora" anaejua privacy anaejua nn chakuweka publicNimependa kitu kimoja....
Huyu mtoto kapevuka mno kiakili sasa kama inafika hatua kajifungua na magazeti hajaandika au mitandao kuchafuka ....
Bro, kapata mke bora
sio majizzo tu but Mostly Men...Kumbe Majizzo alisubiri kwanza ili asiuziwe mbuzi kwenye gunia
Ndiyo Ukweli WenyeweTafuteni hela acheni kufuatilia Hadi mimba za wanaume wenzenu