Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

Uzuri wa Muhimbili labda madaktari lakini Wodi na mazingira kwa ujumla siyo ya kuridhisha kiusafi.

Huko first truck vyooni ukilazwa ni shombo tupu [emoji57][emoji57][emoji57]

Kuchafu kunanuka.

Wodi za watoto vivyo hivyo bafuni maji yanatuwama, harufu shombo!

Majengo mapya lakini sijui mambo ya 20% ni mabaya sana makandarasi wana compromize na ubora wa kazi .

Bafuni ni shida na chooni maji yanatuwama na shombo!
 
Lulu nilimwona akiwa ITV kipindi cha watoto nikajisemea tayar huyu ni kiongoz wa kitaifa ajaye. sijui nani alikahamisha reli kabinti kadogoo! HAD LEO ROHO INANIUMA BASI TU!
 
Lulu alivuna alichopanda kwa mujibu wa sheria, lakini upuuzi wa eti mama Kanumba sijui anapitia hali gani it's a bloody bull crap.
Kanumba alikuwa akibaka, kufanya mapenzi na msichana(mtoto) wa umri chini ya miaka 18 ni kubaka(rape/child molestation) kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Hivyo huyo mama Kanumba acha aendelee kufaidi machungu ambayo chanzo cha msingi ni ubaradhuli(child molestation) uliokuwa ukifanywa na mwanae kwa Lulu.
Kila mmoja avune stahiki yake.
Lkn marehemu kanumba nae bana alikafumua katoto huko chini fumuuu!! bila huruma??? jitu lilisha komoana na akina Wema sepetu hukooo!! Mwee!! hata km alikuwa na kibamia wkt mwingine tuwege na huruma!!
 
Aga khan ndio excutive hospital hapa Tanzania.. mpinzani wake ni muhimbili tu. Sababu pia wana vip service ambayo ni expensive sana.

Aga khan huwez ifananisha na hospital yoyote hapa Tanzania.. ukitoa muhimbili
Saifee ni hospital mpya mkuu ndio analeta upinzani kwa Aga Khan kwa sasa, go and try.....
 
Kcmc ndo the best in Tanzania kwa Sasa hiyo aga Khan inaizidi kwa kipi freshman
Aga Khan ni wezi tu kama wezi wengine, mwanangu alilazwa siku 6, tulisaini bill ya million 14, Dr aliyemtibisha mtoto akasema tumpeleke bill aone kilichoandikwa ni sahihi baada ya kuikagua zilipungua kama million 2 hivi, na wakikuona una bima ndio wanakupiga balaa
 
Baba / mama/ kaka vidole havilingani kama wewe milioni ni nyingi ni kivyako na kama wewe ukiongwa au kama unaishi kwa kuongwa crown ni wewe sio mimi Tuheshiame I don’t drive Japanese cars , And I have never even drove one ,Kua na adabu

milioni sio nyingi kwangu yess , ajabu ni nini ? Hacha wivu kwa Waliokuzidi tafuta hela uache kulia lia kwenye mitandao elfu kumi za miamala kuongezeka
That's the beauty of online anonymity, you can role play or be anyone you dream to be, real or imagined..filthy rich or squeak clean pauper to the extreme stretches of your imagination.
 
That's the beauty of online anonymity, you can role play or be anyone you dream to be, real or imagined..filthy rich or squeak clean pauper to the extreme stretches of your imagination.

Umepata hela Ya bundle Leo ukaona uje ufufue uzi
 
Aga Khan ni wezi tu kama wezi wengine, mwanangu alilazwa siku 6, tulisaini bill ya million 14, Dr aliyemtibisha mtoto akasema tumpeleke bill aone kilichoandikwa ni sahihi baada ya kuikagua zilipungua kama million 2 hivi, na wakikuona una bima ndio wanakupiga balaa

Mbona gharama kubwa hivyo?

Ulikuwa ni ugonjwa wa kawaida au ni magonjwa yenye kuhitaji vipimo vikubwa
 
Baba / mama/ kaka vidole havilingani kama wewe milioni ni nyingi ni kivyako na kama wewe ukiongwa au kama unaishi kwa kuongwa crown ni wewe sio mimi Tuheshiame I don’t drive Japanese cars , And I have never even drove one ,Kua na adabu

milioni sio nyingi kwangu yess , ajabu ni nini ? Hacha wivu kwa Waliokuzidi tafuta hela uache kulia lia kwenye mitandao elfu kumi za miamala kuongezeka
So you in your make-believe world, you only drive bimmers and mercs? Is that what you mean?
 
Back
Top Bottom