Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

Uzuri wa Muhimbili labda madaktari lakini Wodi na mazingira kwa ujumla siyo ya kuridhisha kiusafi.

Huko first truck vyooni ukilazwa ni shombo tupu [emoji57][emoji57][emoji57]

Kuchafu kunanuka.

Wodi za watoto vivyo hivyo bafuni maji yanatuwama, harufu shombo!

Majengo mapya lakini sijui mambo ya 20% ni mabaya sana makandarasi wana compromize na ubora wa kazi .

Bafuni ni shida na chooni maji yanatuwama na shombo!
 
Lulu nilimwona akiwa ITV kipindi cha watoto nikajisemea tayar huyu ni kiongoz wa kitaifa ajaye. sijui nani alikahamisha reli kabinti kadogoo! HAD LEO ROHO INANIUMA BASI TU!
 
Lkn marehemu kanumba nae bana alikafumua katoto huko chini fumuuu!! bila huruma??? jitu lilisha komoana na akina Wema sepetu hukooo!! Mwee!! hata km alikuwa na kibamia wkt mwingine tuwege na huruma!!
 
Aga khan ndio excutive hospital hapa Tanzania.. mpinzani wake ni muhimbili tu. Sababu pia wana vip service ambayo ni expensive sana.

Aga khan huwez ifananisha na hospital yoyote hapa Tanzania.. ukitoa muhimbili
Saifee ni hospital mpya mkuu ndio analeta upinzani kwa Aga Khan kwa sasa, go and try.....
 
Kcmc ndo the best in Tanzania kwa Sasa hiyo aga Khan inaizidi kwa kipi freshman
Aga Khan ni wezi tu kama wezi wengine, mwanangu alilazwa siku 6, tulisaini bill ya million 14, Dr aliyemtibisha mtoto akasema tumpeleke bill aone kilichoandikwa ni sahihi baada ya kuikagua zilipungua kama million 2 hivi, na wakikuona una bima ndio wanakupiga balaa
 
That's the beauty of online anonymity, you can role play or be anyone you dream to be, real or imagined..filthy rich or squeak clean pauper to the extreme stretches of your imagination.
 
That's the beauty of online anonymity, you can role play or be anyone you dream to be, real or imagined..filthy rich or squeak clean pauper to the extreme stretches of your imagination.

Umepata hela Ya bundle Leo ukaona uje ufufue uzi
 

Mbona gharama kubwa hivyo?

Ulikuwa ni ugonjwa wa kawaida au ni magonjwa yenye kuhitaji vipimo vikubwa
 
So you in your make-believe world, you only drive bimmers and mercs? Is that what you mean?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…