Binamu ndio una mind hivo!!?Haters at work yaani nyie ndo mnaomba usiku na mchana waachane mxiuu
virusi vinaweza kuwepo,tatizo hakufuata taratibu kutangazaMi najiuliza Tu, hivi ikija kugundulika kweli Kuna virusi vya Zika nchini Tanzania. Yule mama atarudishwa kazini? Najiuliza Tu lakini...
Mwl kama vipi tutengue uteuzi wao wakuwa wana JF Celebrity...teh teh teh.............wanakera sana wana haribu uzi.Mnaoleta habari za zika huku muache usengerema JF DOCTOR hampajui?
kifupi, Zika ni ugonjwa unaoambukiza kwa njia ya ku "vyogolana" yaani ku 'do', inasababisha mimba zinaxotungwa kuadhilika na watoto kuzaluwa wskiwa na vichwa vidogo kuliko udogo wa kawaida!Kwani Zika ndo nn mm ninasikia ili neno tangu jana....
Zika [HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
Tuupani taarifa za ukweli za zika
Freemexencemello
Justice for lema
Bring back and alive ben saanane
Zika
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
Tuko bz na Zika, BenSa8, Max&Lema
Zika
[emoji115][emoji115][emoji115]MJUAGE KUTOFAUTISHA MAJUKWAA MNANIKERA SANA [emoji41][emoji41][emoji53]Mi najiuliza Tu, hivi ikija kugundulika kweli Kuna virusi vya Zika nchini Tanzania. Yule mama atarudishwa kazini? Najiuliza Tu lakini...
Wewe wako yuko wapi?Baada ya kuonekana kwenye tuzo akiwa alone na kuulizwa yupo wapi jamaa yake na kuwa mkali, wambea wamedai huenda mrembo huyo ametemwa na jamaa yake huyo, kutokana na yeye ku demand sana uwepo wake kwake wakati jamaa ni mtu wa biashara na anakosa muda wa mapenzi ya ki sekondari na ya show off
Aachwe ,,,kwani Majay kashafuta ?????Sasa nikajiulizaaa mbona hamissa kaachwa na huku kazaaa mtoto nikapata majibu mawili
1.labda papuchi imeongezeka ukubwa
2..labda kwakuwa muonekano wa hamissa ni fanta na pepsi
Ila lulu namjuaa toka utoton sasa kama kaachwa sababu sijapata labda kama ni rambo saaa hz kwa lulu
Alifika ndio alipata div 4 ya 33 niliona kuna uzi waliweka matokeo yakekumbe alikuwa bize na masomo.....kwani hata form iv alifika kweli au ndo elimu za hapa na pale