Lulu ameachwa na Majay?

Lulu ameachwa na Majay?

Mi najiuliza Tu, hivi ikija kugundulika kweli Kuna virusi vya Zika nchini Tanzania. Yule mama atarudishwa kazini? Najiuliza Tu lakini...
virusi vinaweza kuwepo,tatizo hakufuata taratibu kutangaza
 
Mnaoleta habari za zika huku muache usengerema JF DOCTOR hampajui?
Mwl kama vipi tutengue uteuzi wao wakuwa wana JF Celebrity...teh teh teh.............wanakera sana wana haribu uzi.
 
Kwani Zika ndo nn mm ninasikia ili neno tangu jana....
kifupi, Zika ni ugonjwa unaoambukiza kwa njia ya ku "vyogolana" yaani ku 'do', inasababisha mimba zinaxotungwa kuadhilika na watoto kuzaluwa wskiwa na vichwa vidogo kuliko udogo wa kawaida!
 
Dr. Mwele Atumbuliwa Cc: W. J. Malecela
[HASHTAG]#justice4lema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BBBenAlive[/HASHTAG]
 
Zika [HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Tuupani taarifa za ukweli za zika

Freemexencemello

Justice for lema

Bring back and alive ben saanane

Zika


[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Tuko bz na Zika, BenSa8, Max&Lema


Mi najiuliza Tu, hivi ikija kugundulika kweli Kuna virusi vya Zika nchini Tanzania. Yule mama atarudishwa kazini? Najiuliza Tu lakini...
[emoji115][emoji115][emoji115]MJUAGE KUTOFAUTISHA MAJUKWAA MNANIKERA SANA [emoji41][emoji41][emoji53]
 
Baada ya kuonekana kwenye tuzo akiwa alone na kuulizwa yupo wapi jamaa yake na kuwa mkali, wambea wamedai huenda mrembo huyo ametemwa na jamaa yake huyo, kutokana na yeye ku demand sana uwepo wake kwake wakati jamaa ni mtu wa biashara na anakosa muda wa mapenzi ya ki sekondari na ya show off

Wewe wako yuko wapi?
Ukijua ya Lulu itakusaidia nini?
 
kumbe alikuwa bize na masomo.....kwani hata form iv alifika kweli au ndo elimu za hapa na pale
 
Sasa nikajiulizaaa mbona hamissa kaachwa na huku kazaaa mtoto nikapata majibu mawili
1.labda papuchi imeongezeka ukubwa
2..labda kwakuwa muonekano wa hamissa ni fanta na pepsi

Ila lulu namjuaa toka utoton sasa kama kaachwa sababu sijapata labda kama ni rambo saaa hz kwa lulu
Aachwe ,,,kwani Majay kashafuta ?????
 
Hivi [HASHTAG]#Lulu[/HASHTAG] kesi yake imeishaje
 
kumbe alikuwa bize na masomo.....kwani hata form iv alifika kweli au ndo elimu za hapa na pale
Alifika ndio alipata div 4 ya 33 niliona kuna uzi waliweka matokeo yake
 
Mtt mzur km huyu unamuachaje kwakweli
 
Back
Top Bottom