Lulu amganda Van Vicker

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ' Lulu ' anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu kilidai kwamba, mwanadada huyo amekuwa na mawasiliano ya karibu na Van Vicker tangu walipokutana Septemba, 2013 kwenye Jengo la Akade Posta jijini Dar ambapo jamaa huyo alitua nchini kurekodi filamu na mastaa wa Bongo .

"Kwa taarifa yenu Lulu sasa hivi mambo yake na Van Vicker ni bambam na wanawasiliana usiku na mchana, nadhani kuna kitu kikubwa kinakuja . Yaani Lulu amemganda jamaa japokuwa sijajua kamili kama wana project gani ."Kama mtakumbuka kipindi kile Van Vicker alikuja Bongo kucheza filamu ya Hashim Kambi (mwigizaji wa Bongo ) ndiyo walifahamiana.

"Inawezekana anataka kufanya naye kazi kama Wema (Sepetu ) ambaye hivi karibuni alikwenda Ghana na picha zikasambaa wakifanya yao , " alisema mtu huyo kwa sharti la kutochorwa jina gazetini .Baada ya kumwagiwa ' ubuyu' huo , gazeti hili lilizungumza na Lulu juu ya ishu hiyo ambapo alikiri kuwa ni mtu wake wa karibu na kwamba ni kweli amekuwa akiwasiliana naye ." Van Vicker ni mtu wangu, nimekuwa nikiwasiliana naye, kusalimiana na kuulizana maendeleo ya kazi zetu za sanaa, " alisema Lulu.
 

Attachments

  • 1431166757883.jpg
    40.8 KB · Views: 3,090
Hivi ile movie ya wema na van vicker imeishia wapi?
Karibu mwaka uishe sasa.Isijekua historia kama ila ya superstar!
 
Hhhhhaaaaaaaaaaa akiingiza tu kitombeo chake kwa lulu imekula kwake😁😁😂
 
Lulu ni sumu kama vile kwenye jina lake, toa herufi zote mbili za "l", badilisha na "s" halafu na "m".
 
Stiv afu van!!! Afu ram afu mwisho ye mwenyewe liz!!! Alikiba alivaa helmet au???????h
 
tena baadhi ni mwanamke mwenzao...
sijui ni nini kwa kweli... ni mapenzi makubwa kwa SK au ni vipi...
Inasikitisha kwa kweli...
 
Van please we beg u oooohh, chinekeeee

Warumi we huwa unakutana na mastaa mara nyingi,bila ushabiki kweli unaona Lulu ni changudoa,tena muuaji? Jamani hata kumpa au kumtakia kila la heri kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…