Kufuatia kupost maneno yanayoelekea kupiga kijembe viti maalum imetafrisiriwa kuwa ni kijembe kwa Wema Sepetu.
Lulu ameandika sura nzuri peleka reception, Tako Peleka (..)hapa ni vyeti na alama za pass, pass..
Nyie watu ni wachonganishi sana..mbona statement yaonekana clear kabisa? Kwani Wema ni pekee anayegombea ubunge viti maalum?Kwanini asiwe Keisha au Wastara?
Nyie watu ni wachonganishi sana..mbona statement yaonekana clear kabisa? Kwani Wema ni pekee anayegombea ubunge viti maalum?Kwanini asiwe Keisha au Wastara?
Kwa sifa alizozitaja moja kwa moja zimemfit wema, kwa kuwa kati ya wagombea wote hakun mwenye shepu na sura nzuri kama wema sepetu so ni kweli alikuwa anampa kibomu wema