Lulu amlipua Wema ubunge viti maalum

Lulu amlipua Wema ubunge viti maalum

SHANTI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
296
Reaction score
365
Kufuatia kupost maneno yanayoelekea kupiga kijembe viti maalum imetafrisiriwa kuwa ni kijembe kwa Wema Sepetu.
Lulu ameandika sura nzuri peleka reception, Tako Peleka (..)hapa ni vyeti na alama za pass, pass..

IMG-20150712-WA0019.jpg
 
Wengi wasanii kuanzia wema na kina Steve Nyerere walimtegemea Membe sasa kapigwa chini sijui itakuwaje.... Ila afadhali
 
Nyie watu ni wachonganishi sana..mbona statement yaonekana clear kabisa? Kwani Wema ni pekee anayegombea ubunge viti maalum?Kwanini asiwe Keisha au Wastara?
 
Watu na chuki zao, wakiona mtu anatake new challenge or step, hater wabwetekaji wanaanza kuzoza. Acheni chuki wanawake.
 
mhhuuuu hivi vitanda maalum vitawamaliza wasanii wa kike jamani, hapo bado hawajachonga vikuku vya mil 4 kushutua kijoti.
 
Nyie watu ni wachonganishi sana..mbona statement yaonekana clear kabisa? Kwani Wema ni pekee anayegombea ubunge viti maalum?Kwanini asiwe Keisha au Wastara?

Kwa sifa alizozitaja moja kwa moja zimemfit wema, kwa kuwa kati ya wagombea wote hakun mwenye shepu na sura nzuri kama wema sepetu so ni kweli alikuwa anampa kibomu wema
 
hivi kweli kwa akili timamu mtu akamchague Wema kama mbunge???!!!!!!! .......... seriously?!
 
Back
Top Bottom