Lulu ampora bwana Hamisa Mobeto

Lulu mshirikina ndo mana anao date nao lazima Wang"ate gunia. Unafikiri show off zote za insta good life atalipata wapi ka sio kutafta wakumuweka mjini

Basi kuna kitu...kung'ata gunia!!! Ndo nini??? Ama ndo zile scandal za kuwa kila anayemlamba Lulu nowadays anakwenda na maji???
 
Duh yule jamaa ameachana na hamisa??? Poor her ndo maana sahivi anajichanganya zake viwanja mara dubai mara wapi kumbe anatoa stress.... Pole zake, ila lulu nae kavalishwa Pete ina maana majizo ndo kamvalisha eeh makubwa haya

mmh kama majizo ndo kamvisha pete lulu bas tuhesabu mapemaaa siku za kuishi. tena akahojiwe kipindi cha mkasi kabisaaa
 
Inasemekana hamisa mwenyewe alinyakua bwana wa shoga yake zuhura..... hivyo alie tu..mwanaume mwenyewe mtembezaji


Lulu naona anataka kumrestisha in peace huyo majizo. Hamisa naye kilichomfanya amzalie mtoto mapema mini? Majizo kazaa na wanawake ka wawili. Pole yako hamisa
 
kwa midume ya cku izi ilivokengeuka na mitaro ya maji machafu itakua uyo lulu anawapa huo mtaro.. why agombaniwe ivi
 
Hii misanii mi hata siilewi Mara kavishwa Pete ya uchumba, mara Ana mume mtarajiwa baada ya siku mbili kachukua bwana wa mwenzie, Leo tunaonyeshwa kabatini kuna shati la buzi mara oooo hakuwa wake wa nanihii, mwingine ameongea kingereza kigumu lakini kupigana hawezi basi tafrani tupu kesho tunaambiwa katangaza nchi kweli? Mi hata sijui nani ni nani vurugu tupu
 



Ila hamisa anajua sana kuto.mbana yuko vzr sio siri
 
Ila hamisa anajua sana kuto.mbana yuko vzr sio siri
Wewe hapo!! Halafu na mwenzio akakupa like!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…