Lulu amtusi mama yake Kanumba, amuita KUBWA JINGA

Lulu amtusi mama yake Kanumba, amuita KUBWA JINGA

Hata mimi aisee yani,alitakiwa ale nae sahani moja ili apate haki ya mwanawe,nina uhakika hata hajui what happened in that room,on that day,yaani eti akawa urafiki na mtu anayehusika na kifo cha mwanae,hapo alibuug step.angekomaa lazima lulu angekula miaka kadhaa jela,
Haya furahia sasa...
 
Back
Top Bottom