LULU amzawadia mama yake Nyumba kwenye birthday yake

Hii habari kama ni ya ukweli na hiyo nyumba ameipata kwa jasho lake nampa hongera zake.....kwa kupiga hatua kubwa...kama ni uwongo basi laana ya wadau aliowaongopea itamtafuna kila aendapo...
 
Besidei zimekua deal mjin....
 
Mkuu... Kama mshua anajua besdei yake lini hebu ita waandishi wa habari umkabidhi bwana. Mie nna mpango huo soon
 
hlo nalo neno, ila akianza kuharisha damu na usaha msianze kumchamba mtoto wa watu, mumuache

Binamu hilo halina mmoja , Unaweza kituliza kwenye Ndoa yako na ukaondoka kwa kuhara vilevile ! Labda uachane kabisa na kujamiiana ndio utakuwa umepona zaidi ya hapo hakuna nje ya wala ndani ya Ndoa wooote wanahara tu ! So bora uhare kwa faida
 
kanumba mwenyewe gwiji wa bongo movie kafa ata banda la nyanya hana sembuse huyo andunje mwenye kaswende mpaka kwenye utumbo

Kaswende kma miaka hii ni ngumu binamu labda kaswende sugu
 
Hiyo nyumba c toka kanumba yuko hai till nw haijamaliziwa,yeye anaishi nyumba y kupanga then analeta showoff kua kampa maza zawadi kweli bongo movie majanga

....labda ni movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…