Lulu ana mimba

Lulu ana mimba

wagagagigikoko

Senior Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
163
Reaction score
49
[h=3]Wadau nimemwangalia sana Lulu mbona kama ana mimba au kanumba alifanya mambo hebu muangalie wadau huyu hapa kama alivyopigwa picha leo

KESI YA LULU LEO KWA MALA YA TATU
:Ombi la wakili wa Lulu kuhamisha kesi mahakama ya watoto lakataliwa mbali baada ya kuwakilisha cheti chenye jina tofauti na la Mtuhumiwa[/h]

IMG_10491.jpg

Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo.

Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.
 
Nimianini mimi Lulu hana mimba amepimwa na kuthibitika hana mimba. Mengine ni nyago za magazeti.
 
Masikini lulu,sipati picha anavyowashwa na iyo nguo ndefu.mhh khs mimba mbona iyo ilivuma muda mrefu...ishachuja
 
Nimianini mimi Lulu hana mimba amepimwa na kuthibitika hana mimba. Mengine ni nyago za magazeti.

..... Mzee wa Rula..unavyokuja na statement of FACT kama hiyo inabidi uwe na uhakika 100%...labda uwe umehusika moja kwa moja kumpima..
 
Jamani Lulu huwa Ana kistachi.
 
Hana mimba ugali na uji wa jela umempenda.
 
Hivi wafungwa na mahabusu wengine wanalindwa na nani? Maaskari wanaooneka tu hapo wako zaidi ya kumi, au kwa vile mnasema ni mtoto ndo sababu anasindikizwa na askari wote hao? Kuhusu umri Llulu atuambie mwenyewe kwanini alifanya birthday part ya kufikisha miaka kumi na nana 2011, alimaanisha nini kufanya part hiyo? Nw watu wanaibuka mara ana miaka 16 mara 17 na wakati yeye mhusika anasema ana miaka 18.

Ninyi mawakili wala hamjajitolea kumsaidia lulu, najua mnalipwa sasa mnataka kupindisha sheria, fanyeni kazi kulingana na maadili yenu, najua kuna babu yake na lulu (mjomba wa mamaye) anahela sana, tunajua mtalipwa hela nyingi sana ili kumuokoa lulu na adhabu yoyote but fuateni maadili ya kazi yenu
 
Wadau nimemwangalia sana Lulu mbona kama ana mimba au kanumba alifanya mambo hebu muangalie wadau huyu hapa kama alivyopigwa picha leo

KESI YA LULU LEO KWA MALA YA TATU
:Ombi la wakili wa Lulu kuhamisha kesi mahakama ya watoto lakataliwa mbali baada ya kuwakilisha cheti chenye jina tofauti na la Mtuhumiwa

IMG_10491.jpg

Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo.

Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.
Hata afande kama naye ana wasiwasi ona anavyomtizama.
 
Hivi wafungwa na mahabusu wengine wanalindwa na nani? Maaskari wanaooneka tu hapo wako zaidi ya kumi, au kwa vile mnasema ni mtoto ndo sababu anasindikizwa na askari wote hao? Kuhusu umri Llulu atuambie mwenyewe kwanini alifanya birthday part ya kufikisha miaka kumi na nana 2011, alimaanisha nini kufanya part hiyo? Nw watu wanaibuka mara ana miaka 16 mara 17 na wakati yeye mhusika anasema ana miaka 18.

Ninyi mawakili wala hamjajitolea kumsaidia lulu, najua mnalipwa sasa mnataka kupindisha sheria, fanyeni kazi kulingana na maadili yenu, najua kuna babu yake na lulu (mjomba wa mamaye) anahela sana, tunajua mtalipwa hela nyingi sana ili kumuokoa lulu na adhabu yoyote but fuateni maadili ya kazi yenu

MH Maadili ya advocates unayajua? Lulu ni client wao kama biashara nyingine yoyote so they have to do whatever is in their means kushinda kesi, so hata wakiongezewa mipesa its olryt!!!!
naomba kutoa hoja!
 
Nimeamini kuhukumu si kazi rahisi...

Kama ungekuwa hakimu wa kesi hiyo.. Nadhani siku ile ya kwanza ya kutajwa kwa kesi, ungeshamfunga maisha kama si kuhukumu anyongelewe mbali!
 
MH Maadili ya advocates unayajua? Lulu ni client wao kama biashara nyingine yoyote so they have to do whatever is in their means kushinda kesi, so hata wakiongezewa mipesa its olryt!!!!
naomba kutoa hoja!

Halafu jamaa anaquestion sherehe ya kutimiza miaka 18... Si maamuzi yake binafsi? Na huenda ilimsaidia kwa wakati huo,ila kwa sasa ule uongo hauhitajiki tena,vinahitajika vidhibiti.. Navyo ni kama hicho cheti cha kuzaliwa!

Watu wangapi wanaopenda kutaja umri wao waziwazi? Ingia katika mitandao,au uliza mtu jina atakwambia,jaribu kumwuliza umri sasa..
Tafakari mkuu!
 
Mpaka hapo imeshatosha, amepata adhabu na funzo kubwa. Wamwechie huru akatumike shahada ya elimu dunia
 
Hivi huyu lulu mnamwita mtoto na ukahaba wote aliokuwa anafanya!! Kweli ngozi nyeusi ina laani sijui..
 
Back
Top Bottom