Lulu apigwa kibuti na kunyang'anywa gari baada ya kuposti picha yupo na bwana mwingine

Lulu apigwa kibuti na kunyang'anywa gari baada ya kuposti picha yupo na bwana mwingine

Hiyo ni kweli uzuri unaisha jinsi unavozidi kujitumia ona hata Wema naye kashaanza kukongoroka mvuto wote kwishney bongo movie kwa kujisahau na kufikiri watabaki hivo milele
Yaani kabisa ukiangalia kina Monalisa utafikiri wako same age na Wema kumbe wema ni mdogo sana, sijui nani kawaambia watumike ndio kuongeza umaarufu usio na pesa.
 
Mbongo movie lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokua wanamuweka mjini
Yule wa Mererani na yule wa tmt.
Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake hivyo wafadhili wote wakamtema na kunyang'anywa kadi ya gari maeneo ya kibo palace hotel bibie akashusha kilio kikali cha majuto.
Pole lulu mkifadhiliwa mfadhilike
We bnti mdogo sana rudi shule my dear uwezo wa kusoma unao
Kuna leo na kesho kwa nini ukubali kudhalilisha mwili wako hvyo!

kwa heshima naomba kujua jina la uyo tajir wa mirerani
 
Mtu kama Lulu kwa background yake naona bora angesomea marketing ,pr au ishu za media hivi ingemsaidia... ila uko alikoenda mmh sijui ana mipango gani.

Wewe anasomea ivyo aingie serikalini miaka kadhaa utaona ni mbunge...pedeshee ndo kamshauri mkuu....watu wanalenga masilahi....
 
Pedeshee sekioni...yuko jijini arusha ni shiiidaaa huyo baba....katoka na husna maulid rafki wa lulu akavuruga ndo lulu akavuta mahela upande wake mpka leo ushoga mwsho...naskia jamaa karudi kwa husna tena baada ya kuachana na lulu....
 
www.sherv.net/emoticons.html

kiss-my-ass.gif
kiss-my-ass.gif
kiss-my-ass.gif
 
Back
Top Bottom