Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Labda one day atakutana nae...daaaah naomba kumsikitikia kwa kweli...........kweli anavyosema yuko ndotoni, maana ukiwa macho huwezi waza ujinga kama huu.....labda ni utoto tuuuuu....akikua ataacha
Yaani kabisa ukiangalia kina Monalisa utafikiri wako same age na Wema kumbe wema ni mdogo sana, sijui nani kawaambia watumike ndio kuongeza umaarufu usio na pesa.Hiyo ni kweli uzuri unaisha jinsi unavozidi kujitumia ona hata Wema naye kashaanza kukongoroka mvuto wote kwishney bongo movie kwa kujisahau na kufikiri watabaki hivo milele
Mbongo movie lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokua wanamuweka mjini
Yule wa Mererani na yule wa tmt.
Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake hivyo wafadhili wote wakamtema na kunyang'anywa kadi ya gari maeneo ya kibo palace hotel bibie akashusha kilio kikali cha majuto.
Pole lulu mkifadhiliwa mfadhilike
We bnti mdogo sana rudi shule my dear uwezo wa kusoma unao
Kuna leo na kesho kwa nini ukubali kudhalilisha mwili wako hvyo!
kwa heshima naomba kujua jina la uyo tajir wa mirerani
Sekioni kifupi anaitwa seki
Mbona anasoma!
Anasoma wap?
Mama mwenyewe si anawekwa mjini na mwanae, so unategemea atasema nini?
kwa tunaojua CV ya mama yake ... mtoto ni more decent...naishia hapa maana mama yake si celeb.
magogoni...certificate...
Mhhh, bora angeenda kulima tu
Mwanzo mgumu...akitia bidii atafika tu..
Mtu kama Lulu kwa background yake naona bora angesomea marketing ,pr au ishu za media hivi ingemsaidia... ila uko alikoenda mmh sijui ana mipango gani.