Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Siku izi nasikia yupo magogoni namuonag na ki rav 4 chake
Hahahahaaa... why?
Si niliskia alikuwa chakula cha rizmoko? Hebu unitoe tongo
Tatizo na wewe utembelei humu Mara kwa Mara, uo uji nilishautoaga.
Nini kuwa nae ? Na nyumba mwenzio kapangishiwa tegeta kule kwa matajir. Sema siku izi nasikia Liz hatoag hela so bibie anamkwepa maana Liz nae bahir Mangi kasingiziwa
Umeona eeh? Watu wanataga mazao , si unalisha tu kumbe tasa
Umeona eeh? Watu wanataga mazao , si unalisha tu kumbe tasa
Ndo mpango wa mjini...ukiona bahili unamuwekea mimba ujanja anakuwa hana matunzo lazima atoe hehe au lulu Ana probo?
Sikapendi haka kamtu basi tu sema sikukaumba mimi
angekuwa na uchungu angem- restisha in peace the great?
Awe mstaarabu hasa sasa watanzania wanajitahid kumpokea na kumtetea arudi kufanya kazi. Akianza kujikweza itakula kwake. Hasa kipndi hizi kesi yake haijatolewa hukumu. Kila kitu chake kinafatiliwa
Tena anachamba kwa nyodo zote , sasa kama alikuwa analala na kuamka nae mbona kamuu mfyuuiu
Hahhhhhahhhha amzalieee eee
Yupo lulu, monalisa na joti wanatafuta watu wenye vipaji vya uigizaji ..
Tena anachamba kwa nyodo zote , sasa kama alikuwa analala na kuamka nae mbona kamuu mfyuuiu
ndo hapo sasa. Ajiangalie maneno yake asije akapitiliza tu yakachukuliwa kama ushahid.
Mie naamini halikuwa kosa lake, ila hayo mashauzi ndo yananitia hasira nae
daah kumbe siko pekeyangu nilijua ni mimi tu nisieona huwo uzuri.ni prom tu kubwa na kuongopewa huko inst lakini ni kawaida sanaIla mimi mwenzetu huyu Mtoto Mbona siuoni huo uzuri wanaomsifia mno...ni msichana wa kawaida sema. Media inampa promo mnoo!