Lulu aporomosha matusi mazito, kisa kanumba.

Si niliskia alikuwa chakula cha rizmoko? Hebu unitoe tongo

Tatizo na wewe utembelei humu Mara kwa Mara, uo uji nilishautoaga.
Nini kuwa nae ? Na nyumba mwenzio kapangishiwa tegeta kule kwa matajir. Sema siku izi nasikia Liz hatoag hela so bibie anamkwepa maana Liz nae bahir Mangi kasingiziwa
 
Hehehe mbunge kawa bahili tena hah amzalie aone
 
angekuwa na uchungu angem- restisha in peace the great?
Awe mstaarabu hasa sasa watanzania wanajitahid kumpokea na kumtetea arudi kufanya kazi. Akianza kujikweza itakula kwake. Hasa kipndi hizi kesi yake haijatolewa hukumu. Kila kitu chake kinafatiliwa
 
Tena anachamba kwa nyodo zote , sasa kama alikuwa analala na kuamka nae mbona kamuu mfyuuiu
 
Afu kumbe kapo Mbeya?

Nimeona hapo kwenye utumbo wake kalivyoandika !
Sijui katakuwa sehemu gani mweeeee !
 
Yupo lulu, monalisa na joti wanatafuta watu wenye vipaji vya uigizaji ..
 
Sasa Lulu atakuwa anatafuta waigizaji wa X !

Mana kichwani pale ndo anachokiwaza !
 
Tena anachamba kwa nyodo zote , sasa kama alikuwa analala na kuamka nae mbona kamuu mfyuuiu

ndo hapo sasa. Ajiangalie maneno yake asije akapitiliza tu yakachukuliwa kama ushahid.
Mie naamini halikuwa kosa lake, ila hayo mashauzi ndo yananitia hasira nae
 
Shida wasanii wetu hawawezi kuvumilia niwe pesi wakupanic
Sijui hawaoni wenzao wa USA mtu anatukanwa na followers wake lakini ana calm down
 
Ila mimi mwenzetu huyu Mtoto Mbona siuoni huo uzuri wanaomsifia mno...ni msichana wa kawaida sema. Media inampa promo mnoo!
 
daah kumbe siko pekeyangu nilijua ni mimi tu nisieona huwo uzuri.ni prom tu kubwa na kuongopewa huko inst lakini ni kawaida sana
 
Back
Top Bottom