Lulu aporomosha matusi mazito, kisa kanumba.

daah kumbe siko pekeyangu nilijua ni mimi tu nisieona huwo uzuri.ni prom tu kubwa na kuongopewa huko inst lakini ni kawaida sana

Mkuu mimi huwa nashaangaa sana wabongo wanavyokuwa wanawasifia Hawa watoto...ukikutana nao live wakawaida kweli.
Wakati uswazi kuna watoto wakali Hawana promo!
 
Mkuu mimi huwa nashaangaa sana wabongo wanavyokuwa wanawasifia Hawa watoto...ukikutana nao live wakawaida kweli.
Wakati uswazi kuna watoto wakali Hawana promo!

Umeona eeenh? Yani ana shepu mbayaaa, juu kama kabaunsa, tumbo tumbo....me sijawahi kumuona mzuri.
 
Tena anachamba kwa nyodo zote , sasa kama alikuwa analala na kuamka nae mbona kamuu mfyuuiu

Shangaaaa yaaan haka kakipataa mume wa kuishi naee ni bahatii maana kana nuksi kweliii, huyuu alitumwaaa Kanumbaa hakufa bure wala hakuna cha ubongo kustuka wala niniiii walitupiga fix tu
 
Last edited by a moderator:
Ana katumbo kale ka ofa za michemsho, we muangalie vizuri.
Halafu shoga nlikumiss, yani kulipooza humu bora umerudi.

Hahahhha haya banaaa hata mi nilikumiss niliona mnaendelezaa mamboooo humuu kama kawa nimerudii
 
Yupo lulu, monalisa na joti wanatafuta watu wenye vipaji vya uigizaji ..



kweli wapo kwenye baridi huku ! (green city)

Joti nae lazima apewe ! Labda awe mzembe tu dogo mwenyewe si anagawa bila mzani !
 


kweli wapo kwenye baridi huku ! (green city)

Joti nae lazima apewe ! Labda awe mzembe tu dogo mwenyewe si anagawa bila mzani !

Na asipozimishwaaaa amuoe kabisaaa maana hakaa lol
 
Na asipozimishwaaaa amuoe kabisaaa maana hakaa lol


hahahaaaaa mtoto anajua ku ! Huyu sijui amejifunzia wapi !

Mana ze G alidatishwa kinyama !

Si unakumbuka zile movie za enzi zilee kalikuwa kadogo maskini ya mungu ! Kanamuita ze G baba !

Afu ze G akaja kuka nanii !
Mi nahisi mapenzi kamejifunzia Bongomovie !
 
Ulirudi lini mpnz? Lulu alikuwa na akili sana class ni km ka genius flani sema kupenda team
ya libolo na u much know Ndo vimemharibia ...mtoto mdogo mambo makubwa. Nilishampiga darasa mahali ktk kuganga njaa na kutekeleza MKUKUTA

Duuu we mwanamke hua unanikosha sana hahaa timu libolo fc uongo hahah
 

Jaman kwani alikusudia?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…