billduke
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 860
- 898
daah kumbe siko pekeyangu nilijua ni mimi tu nisieona huwo uzuri.ni prom tu kubwa na kuongopewa huko inst lakini ni kawaida sana
Mkuu mimi huwa nashaangaa sana wabongo wanavyokuwa wanawasifia Hawa watoto...ukikutana nao live wakawaida kweli.
Wakati uswazi kuna watoto wakali Hawana promo!