Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Duuu we mwanamke hua unanikosha sana hahaa timu libolo fc uongo hahah
Utalalamika wapi mkuu, maana nasikia kuna ma mods humu wapo ukizinguana nao tu wanakupa BAN ya milele , we kuwa mpole kama warumi
Za pasaka njema mkuu, nipo tu napata supu ya mbuzi apa na bia mbili tatu swafii, badae naelekea Nyumban lounge na shemej yako nikapate mziki laini
sahihi!
Me mwenyewe najipatia supu ya pweza murua kabisa ! Hapa ! Sina neno
Hali ya hewa inaruhusu binamu , take care nakutakia kila la kheri uendako
Ulirudi lini mpnz? Lulu alikuwa na akili sana class ni km ka genius flani sema kupenda team
ya libolo na u much know Ndo vimemharibia ...mtoto mdogo mambo makubwa. Nilishampiga darasa mahali ktk kuganga njaa na kutekeleza MKUKUTA
Ndo mpango wa mjini...ukiona bahili unamuwekea mimba ujanja anakuwa hana matunzo lazima atoe hehe au lulu Ana probo?
duuhSikapendi haka kamtu basi tu sema sikukaumba mimi