Lulu aporomosha matusi mazito, kisa kanumba.

Lulu aporomosha matusi mazito, kisa kanumba.

Utalalamika wapi mkuu, maana nasikia kuna ma mods humu wapo ukizinguana nao tu wanakupa BAN ya milele , we kuwa mpole kama warumi

Za pasaka njema mkuu, nipo tu napata supu ya mbuzi apa na bia mbili tatu swafii, badae naelekea Nyumban lounge na shemej yako nikapate mziki laini


sahihi!

Me mwenyewe najipatia supu ya pweza murua kabisa ! Hapa ! Sina neno
 
Last edited by a moderator:
Ulirudi lini mpnz? Lulu alikuwa na akili sana class ni km ka genius flani sema kupenda team
ya libolo na u much know Ndo vimemharibia ...mtoto mdogo mambo makubwa. Nilishampiga darasa mahali ktk kuganga njaa na kutekeleza MKUKUTA

Aisee,
 
Bado katoto kiakili. Wakashauri,,keep calm,.murder case on progress.
 
Back
Top Bottom