Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Neno binti limepoteza maana cku hizi. Cku hizi kuna wanawake tu kizazi cha mabinti kilishapoteaga
Actually, mabinti wapo sema nibwachache mno, wengi ni wanawake.

Unakuta mtu wa jinsia ya kike mwenye umri mdogo kabisa hata 15 th hajafika, lakini ni 'mwanamke' tayari. Dah
 
Hivi hata form IV alimaliza yule..?? maana najua alikua anasoma shule Fulani pale nyuma ya Rombo Hotel akafukuzwa akiwa forn II nadhani, baada ya hapo ikawa ni filamu na yeye, yeye na filamu, sijui kama aliwahi kurudi shule. Kama ni kuchukua Telecom engineering anaweza, ila kusomea nina wasiwasi. Kila la heri lakini.
 
Aisee mbona hayo matokea hayafanani najina la shule yenyewe.Ila bendera nyingi zinapepea kila somo mpaka raha.Yani huo undezi uliopitiliza hata civics na kiswahili napo bendera/mswaki kweli!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…