MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,303
Actually, mabinti wapo sema nibwachache mno, wengi ni wanawake.Neno binti limepoteza maana cku hizi. Cku hizi kuna wanawake tu kizazi cha mabinti kilishapoteaga
Unakuta mtu wa jinsia ya kike mwenye umri mdogo kabisa hata 15 th hajafika, lakini ni 'mwanamke' tayari. Dah